06 November 2014

KAJALA, MWANAYE GUMZO MLIMANI CITY

 Sexy lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.
SEXY lady wa filamu Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni aligeuka gumzo yeye na mwanaye walipoenda kufanya ‘shopping’ Mlimani City ambapo watu walikuwa wakiwakodolea macho kwa jinsi alivyolingana na mtoto wake.
Kajala alitinga eneo hilo na mtoto wake huyo aitwaye  Paula ambapo awali walienda kupata chakula katika mgahawa wa SamakiSamaki  na kisha waliingia ndani kwa ajili ya kufanya manunuzi mengine.
“Kwa kweli Kajala amekuza maana yeye na mtoto wake wamelingana sasa na mara nyingi kwa sasa hivi wanaongozana huku wakionekana kuwa na furaha wakati wote,” alisikika mtu mmoja akizungumza.SOMA ZAIDI>>

1 comment:

  1. So any specific text accompanied "Burger" in a shape/form isn't brazilian hair uk going to be granted access. Most people may just be unclear considering the parts of important likeness. Almost all the nation's appraisal uses that very subjective appraisal.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname