03 September 2014

HII NDO JEURI YA PESA YA Peter Wa P-square ANUNUA GARI JIPYA LA ZAIDI YA MILIONI 300 ZA KITANZANIA .TAZAMA PICHA...



Baada ya kumaliza matatizo yao kwenye familia na ndugu zake ambayo bado hayajajulikana kama yalikuwa ni kweli au ni stunt za biashara yao kwenye muziki, Peter amewaonyesha fans wake gari lake jipya lililomtoa zaidi ya milioni 300 kwenye pesa za kitanzania. 


Peter na ndugu zake wawili ilisemakana hawakuwa kwenye maelewano kwa kipindi kifupi lakini baadae wote watatu wali-tweet maneno ambayo yaliashiria wamemaliza tofauti zao

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname