MBONGO-Fleva
anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa
mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vanessa Mdee ‘V-Money’
wanadaiwa kuwa ni wapenzi.
Juma Mussa ‘Jux’ akiwa na Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanaodaiwa kuwa ni awapenzi.
Madai ya wawili hao kuhusishwa
kimapenzi yameendelea kujidhihirisha siku hadi siku na zaidi ni hivi
karibuni walipokutana kwenye ziara ya Serengeti Fiesta 2014 mkoani
Kagera na Tanga, ambapo muda mwingi walionekana kugandana kama luba hadi
wenzao kudai kuwa walikuwa hata wakilala chumba kimoja hotelin
No comments:
Post a Comment