Kijana Mmoja ambaye Jina lake halijafahamika Mara Moja akiwa amejeruhiwa vibaya kisa kikielezwa
kwamba ni kukutwa na mke wa Mtu.Matukio kama haya yamezidi kushika kasi
katika jamii yetu ambapo watu wamezidi kujichukulia sheria mikononi.
Kwa kuwaadhibu watu na matokeo yake kuwajeruhi watu kupita kiasi.
NOMA SANA: LULU ACHARUKA VIBAYA, ATOA MANENO MAKALI MTANDAONI...KISA. BONYEZA HAPA!
NOMA SANA: LULU ACHARUKA VIBAYA, ATOA MANENO MAKALI MTANDAONI...KISA. BONYEZA HAPA!
No comments:
Post a Comment