01 August 2014

Picha Za Kajala Akiwa Kimahaba Na Mpenzi Wake Zavuja !

Kajala na mpenzi wake
Picha za Kajala Masanja akiwa na mpenzi wake mpya wakipigana mabusu zimeanza kuenea mitandaoni. Hii inakuja hasa baada ya habari kuenea kwenye media kuwa Kajala alimzunguka Wema kwa kutoka na Kigogo wa Ikulu anayeitwa Clement. Hata hivyo ufafanuzi mkubwa bado kuwa wazi likiwemo jina la jamaa huyo mpenzi wa Kajala

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname