27 August 2014

KUHUSU KAJALA KUTOKA KIMAPENZI NA QUICK RACKER

Kama ikiwa ni kweli inaweza ikawa ni uhusiano mwingine amabayo inahusu sanaa kutoka kiwanda cha Bongo Movie na Bongo Fleva na kuwa kwenye mastar wa Tanzania waliyo kwenye uhusiano.Kwa Tanzania ukimtoa Wema Sepetu na Diamond watu wengine walio kwenye uhusiano na kutangaza kabisa ni pamoja na Nuh Mziwanda na Shilole ingawa pia zilishawahi kutoka stori za Msami wa THT na Irene Uwoya kuwa wapenzi. 


Soudy Brown kapiga stori na meneja wa Kajala  ambaye alikua nae Kajala pamoja na Quick Rocker hata wiki iliyopita Tanga,ambaye nae kazungumza kinachoendelea katikati yao hao watu wawili. SOMA ZAIDI>>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname