Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa ajili ya
mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo
limeshatendeka na hata ukifanya nini halitaweza kurudi, cha msingi ni
kuangalia wapi mwenza wako kakosea na kama imeshindikana ni bora uachane
naye kwa kheri kuliko kuaribiana maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma
ila tujali utu kuliko kufanya unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina
wa pande za Nigeria aka Naija, ambaye alimwagiwa acid na mpenzi wake
Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa alibahatika kukamatwa
na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka 2010, Swali je miaka kumi na
kumualibu mwenzio vinaendana?
No comments:
Post a Comment