20 August 2014

ALICHOKIANDIKA MAULID KITENGE BAADA YA KUACHA KAZI ITV/RADIO ONE!

Maulid Kitenge yuko kwenye orodha ya Watangazaji wa muda mrefu wa michezo nchini Tanzania ambapo ujazo wa jina lake uliongezeka baada ya kuanza kufanya kazi na ITV/RadioOne zaidi ya miaka 10 iliyopita.

August 18 2014 Maulid aliandika yafuatayo kwenye page yake ya twitter : ‘Namshukuru sana Mungu leo nimemaliza miaka 14 ya kutumika kuwa kama mtangazaji wa michezo Radio one stereo na hakika naondoka rasmi‘

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname