Former Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara
la Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling (Inasemekana ndio rasta
maarufu zaidi Tanzania), harusi yake ilikuwa njiani kwenye matayrisho
makubwa huku Mchumba wake akihaha huku na kule kutayarisha
harusi yao, majuzi akamuaga anakwenda kumuona Dada yake na atalala huko
huko, kesho yake yaani jana haya ndiyo yaliyotokea mbebez amefariki
kwenye ajali akiwa na
bwana mwingine kabisa ambaye naye amefariki so mchumba sasa haelewi na
haamini kama ni kweli alichosikia na kukiona kwenye picha hizi hapa chini!!




No comments:
Post a Comment