26 June 2014

PICHA MWANAFUNZI WA CHUO ACHOMWA MOTO HADHARANI

Inasikitisha na kuhuzunisha sana, habari zilizotufkia hivi punde ni yakuwa mwanafunzi mmoja anaesoma katika mkoa wa iranga chuo cha Ruaha Univrsity college aka ruco, amechomwa moto mara baada ya kusadikika kuwa ni mwizi, but wakati akiendelea kuchomwa msamaria mmoja alijitokeza na kusema kuwa huyo ni mwanafunzi na anasoma nae chuo kimoja, mara tu baada ya kusadikika hivyo mtuhumiwa huyo alipelekwa hospital, na kwa sasa hali yake ni nzuri na anaendelea poa..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname