30 June 2014

DIAMOND AFAIDIKA NA MENGI TUZO ZA BET

Photo: Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi... kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi kupambana zaidi, kesho na keshokutwa Tasnia yetu nasi ifike kwenye kilele....! das me and my Boy Nelly at the @betawards red carpet... Wenyewe wa uswazi tunamuitaga "Nelly I love you" Mzee wa Plasta������... Cc @bet_intl


DIAMOND ANENA HAYA
Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi... kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi kupambana zaidi, kesho na keshokutwa Tasnia yetu nasi ifike kwenye kilele....! das me and my Boy Nelly at the @betawards red carpet... Wenyewe wa uswazi tunamuitaga "Nelly I love you" Mzee wa Plasta
Photo: [Interview fupi na Shemeji yetu Karrueche kwenye Red Carpet ya @BETawards jana Mjini Los Angeles California....] Asante sana Sheria Ngowi kwa suti hii uliyonivalisha.....] Jus Me and Our Beautiful inlaw @karrueche at the @betawards red Carpert... Thank you so much @sheriangowi for this classy and Outstanding suit... I really Nailed it... Cc @bet_intl

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname