Wiki iliyopita tulimaliza Hekaheka ambayo
ilimuhusisha Mama ambaye alifiwa na mtoto wake kisha baadae alienda kwa
Mganga akaambiwa kuwa mtoto wake hakuwa amefariki kama alivyojua yeye
bali alichukuliwa kishirikina na kwamba yuko sehemu akiwa hai. Sasa leo stori kama hiyo imemtokea mganga mwingine ambaye imebainika kuwa feki baada ya kwenda kwa Mwanajeshi ambaye alifiwa na mtoto wake kisha kumwambia mtoto hajafa, sasa sikiliza kilichomkuta kwa kubonyeza play hapa chini…
No comments:
Post a Comment