21 May 2014

HII NDIO GHARAMA YA VIDEO MPYA YA DIAMOND ft IYANYA, PIA TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

Diamond alikwenda Uingereza kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake na Iyanya ambayo imegharimu zaidi ya dola za kimarekani elfu 20 (zaidi ya milioni 30
za Tanzania) kutokana na ukubwa wa director wenyewe, malazi, mavazi, kusafirisha watu kutoka Nigeria pamoja na mahitaji mengine

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname