Jacqueline Wolper akisali nyumbani kwake na katika kaburi la Kanumba.
Na Erick Evarist
MKALI katika anga la sinema Bongo, Jacqueline Wolper ameangusha sala nzito kumkumbuka marehemu Steven Kanumba.Wolper alifanya maombi hayo juzi Jumatatu ambapo sala hizo alizifanya nyumbani kwake, kisha akaelekea katika kaburi la Kanumba, Kinondoni jijini Dar kumalizia maombi yake.
“Ni mhimili mkubwa katika tasnia yetu, hatuna budi kumuombea huko
aliko aendelee kupumzika kwa amani, mbele yake nyuma yetu,” alisema
Wolper.MKALI katika anga la sinema Bongo, Jacqueline Wolper ameangusha sala nzito kumkumbuka marehemu Steven Kanumba.Wolper alifanya maombi hayo juzi Jumatatu ambapo sala hizo alizifanya nyumbani kwake, kisha akaelekea katika kaburi la Kanumba, Kinondoni jijini Dar kumalizia maombi yake.
No comments:
Post a Comment