MSANII FLORA MVUNGI
Msanii
wa Bongo Movie Flara Mvungi ameibuka na kusema kuwa licha ya mwanae
bado mdogo hata mwaka hajamaliza sasa hivi anahitaji kushika mimba
nyingine ili apate mtoto wake wa pili na baada ya hapo atafunga kizazi
hataki kusikia ahabari za kuzaa badala yake ataendelea kutafuta hela ili
wanae waishi maisha mazuri tofauti na ya kwake alivyokuwa ambayo
yalikuwa ya shida sana.
Akizungumza
na paparazi juzi alisema" Nasema kweli kuwa kwa sasa nahitaji kupata
mtoto wa pili na tayari nimeshamwambia baba watoto akaze buti ili nibebe
mimba na kama Mungu akijalia basi huyo mtoto wa pili atakuwa wa mwisho
katika maisha yangu sitozaa tena" Aliseema

No comments:
Post a Comment