STAA
wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amefunguka kuwa ubize wa kulea
mwanaye ndiyo umemfanya avunje urafiki na shosti wake, Salma Jabu
‘Nisha’.
Flora Mvungi akiwa na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’.
Flora
alifunguka hayo juzikati baada ya paparazi wetu kumuuliza juu ya
taarifa zinazodai kuwa wawili hao wamepishana kauli na kila mmoja kuishi
kivyake.
Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’.
Flora Mvungi akiwa na mwanaye Tanzanite.
“Sina
tatizo kiivyo na Nisha lakini labda niseme tu mtoto ndiye amenifanya
mimi na Nisha tuwe mbalimbali, hakuna kingine,” alisema Flora.
No comments:
Post a Comment