Hii imetokea huko Marekani baada ya kijana Sam Wilson
(25) kuamua kutoa milango, boneti, taa za bleki, na taa kuu na kwenda
kuuza kwa paundi 150, Kijana alikua akitumia alama za mikono kama
akitaka kukata kona au kupiga bleki
Baada ya kusimamishwa na polisi kijna huyo aligoma kusimama na kukimbizwa kwa umbali nwa maili 3 mpaka pale alipo amua kusimama, na kupigwa faina na kisha gari lake kufungiwa katika kituo cha polisi.

No comments:
Post a Comment