02 March 2014

BREAKING NEWZZ...MAKAO MAKUU YA AL AHLY YAVAMIWA MISRI..BAADA YA KUFUNGWA NA YANGA JANA

 

Yanga yasababisha makao makuu ya Al Ahly kuvamiwa huko Misri, ni baada ya timu hiyo kukubali kichapo cha goli moja kwa sifuri jijini Dar..MASHABIKI WA TIMU YA AL AHLY
WALIKASIRIKA NA MATOKEO YA TIMU YAO KUFUNGWA NA YANGA NA KUAMUA KUVAMIA MAKAO MAKUU YA CLUB HIYO...TAARIFA ZAIDI NA PICHA ZITAWAJIA PUNDE

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname