Katika
kujaribu kupunguza msongamano wa magari mjini Dubai, watu wenye kipato
cha chini na maskini hawataruhisiwa kumiliki magari.
Wazo hilo
la ubaguzi limebuniwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Dubai, Hussain Lootah.
Lootah amesema uamuzi huo utawaruhusu watu muhimu na wenye kipato cha
juu kutumia barabara za mjini.
No comments:
Post a Comment