17 February 2014

HIVI NDIO JINSI SHILOLE, MADEE, QUEEN DARLEEN WALIVYOWADATISHA WANA IGUNGA VALENTINE'S, ANGALIA HAPA


Shilole na Madee wakiwadatisha wakazi wa Igunga kabla ya shoo ya Valentine's Day.
Shilole (kushoto) na Queen Darleen (kulia) wakisema na wana Igunga.
Shilole, wacheza shoo wake na Queen Darleen wakizidi kuwapa raha mashabiki kabla ya shoo yao usiku wa Wapendanao.
Wasanii Zuwena Mohamed 'Shilole' au Shishi Baby, Hamadi Ally 'Madee' na Queen Darleen waliwadatisha vilivyo wakazi wa Igunga mjini siku ya Wapendanao 'Valentine's Day' kabla ya shoo yao iliyofanyika Ukumbi wa Sakao uliopo Igunga Mjini

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname