30 January 2014

Ikifika mwaka 2020 wadada wote wa mjini watakuwa wanaumwa migongo

Seth anaongea kaa kimyaaaaa
Ikifika mwaka 2020 wadada wote wa mjini watakuwa wanaumwa migongo na wengine watakuwa wanatembelea mikongojo at the age of 35...

Siku hizi mdada haposti picha FB na Insta bila hili pozi....Na haya ndo mazoezi wanayochukua kabla
hawajapiga picha.

Ama kweli Fasheni itawaua....Halafu akishaposti picha yake ya mbinuko,hata kama ana viandazi tu
anavibinua

Mtaumwa uti wa mgongo nyie vimeo mnabinuka kama Fuso.
credit-tabasamunafuledi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname