27 November 2013

SAMAHANI KWA HIZI PICHA....VIDEO INAYOONYESHA WATU 7WALIOFARIKI DUNIA NA WENGINE 18 WALIOJERUHIWA KATIKA AJALI MBAYA HUKO TANGA TANGA...!!! ONYO! VIDEO INATISHA


Watu saba wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa vibaya baada ya magari mawili ya abiria yanayofanya safari zake kutoka jijini Tanga kwenda wilayani Korogwe kugongana uso kwa uso.
VIDEO YA TUKIO HII HAPA CHINI

-ITV

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname