03 September 2013

BREAKING NEWZZZ!!! RWANDA YABADILI MSIMAMO MALORI YETU YARUHUSIWA KUPITA!!

Tumezungumza na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Tzeba, amethibitisha kuwa Serikali ya Rwanda imeruhusu malori ya Tanzania yaendelee na safari kwa kulipa dola 152 badala ya 500 zilizoanza kutozwa jana.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname