18 August 2013

RAY C ATOA USHAURI WA BURE JUU YA MADAWA YA KULEVYA

r2
Rehema Chalamila the award winning singer ambaye aliathirika na matumizi ya dawa za kulevya na baadae kupona. Ameendelea kuwa kioo cha jamii kwa ku-share experience yake baada ya kupona kwenye ishu ya dawa za kulevya. Ray C ametoa ujumbe mpya ambao ni muhimu kila mtu kuujua kwasababu kwenye mazingira yetu kuna waathirika wengi wa dawa za kulevya.
Haya ndiyo maneno ya Ray C mwenyewe ambayo yana ujumbe mzuri ndani yake, “Wote hawa tuliokaa hapa(picha hapo chini) tuliathirika na dawa za kulevya na tumepona kwa kunywa dawa moja tu inayoitwa Methadone. Inapatikana Muhimbili na Mwananyamala pekee na ni bure kabisa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname