
Lulu akimwaga machozi ya furaha baada ya kuachiwaLulu akipanda gari aina ya Land Cruiser V8 na kuelekea nyumbani kwao"(Pili) usisafiri nje ya Dar es Salaam bila idhini ya Msajili wa Mahakama Kuu, (tatu) unatakiwa kuripoti (kujiwakilisha) kwa Msajili wa Mahakama kila tarehe mosi ya kila mwenzi".
Akisoma uamuzi wa maombi hayo Jaji Mruke alifafanua kuwa, "Sharti la (nne) unatakiwa kuwa na wadhamini wawili wanaofanya kazi serikalini na wawe na tsh 20milioni kila mmoja".
"(Tano) ni kwamba unatakiwa kutimiza masharti ya dhamana na kusaini mbele ya msajili wa Mahakama na utaendelea kubaki rumande mpaka utakapotimisha masharti yote"source habarimpya.com