Miss
Tanzania World 2012, Lisa Jensen (kushoto) akiwa na washiriki wenzake
wakipita jukwaani wakati wa shindano la Mbunifu bora 'Designer Award'.
Miss
Kenya 2012,Shamim Fauz ALI
ameonekana kung’ara zaidi katika
mashindano ya Miss World 2012 kwa ukanda wa Afrika Mashariki kwa
kufanikiwa kuingia katika nusu fainali za mataji kadhaa yanayowaniwa
katika shindano hilo kubwa la Urembo Duniani.
Miss
Kenya akiwa katika kundi la tatu ametajwa kati ya warembo wanchi 40
watako wania taji la Miss Bikini ‘Beach fashion ‘ na pia yupo katika ya
wasichana 47 watakao wania taji la Top Model 2012.
Miss Tanzania akiwa katika picha hii ilipogwa katika moja ya matukio ya Miss World 2012.
Miss Uganda 2012 Phiona Bizzu
Leo hii kunafanyika fainali ya Miss Talent World 2012.
Via Father Kidevu Blog



