Huyu ndiye Mbunge aliyeapa “KUNYWA SUMU” endapo Chama Cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] kingeshinda Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Igunga Mkoani Tabora.
Huyu
ndiye Mbunge aliyeapa “KUNYWA SUMU” endapo Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo [CHADEMA] kingeshinda Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Igunga
Mkoani Tabora. Hapa Livingstone Lusinde (a.k.a Kichaa kama alivyojiita)
akirapu rapu zake za matusi ya nguoni kule Arumeru Mashariki tarehe
26/03/2012 majira ya saa 9 Alasiri. Swali langu ni: JE, ATAWEZA
KUSIMAMIA KAULI HIYO (YA KUNYWA SUMU) ILI KUPELEKA MSIBA JIMBONI KWAKE
BAADA YA MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA KUTOA HUKUMU YA KUTE
No comments:
Post a Comment