29 February 2012

HUYU NDO DEMU WA Mr.BLUE Mwenye MIMBA YAKE

Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani sanaaa ambae anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba

CHANZO -Teen tz

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname