31 October 2011
30 October 2011
28 October 2011
ONA MIMBA ya BEYONCE nakupata MTOTO wa KIKE.


Mama yake beyonce katabiri kupata mtoto wa kike,kwani kwake ndo ndoto yake kubwakwa mwanae kujifungua mtoto wa kike.Kwa sasa star huyo akiwa na umbile limuonyeshayo kuwa na mtoto ye anasema ni faraja kwake kupata mtoto wa jinsia yeyote.
27 October 2011
jua bei ya TIKETI ZA KIPUTE CHA YANGA NA SIMBA KUANZA KUUZWA LEO


Tiketi kwa ajili ya mechi namba 78 kati ya Yanga na Simba
itakayochezwa Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam zitaanza kuuzwa kesho saa 4 asubuhi
Vituo vitakavyouza tiketi hizo hadi saa 10 jioni ni Uwanja wa
Taifa, kituo cha mafuta cha Oilcom Ubungo,
Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa, kituo cha mafuta cha
Big Bon kilichoko Msimbazi- Kariakoo na mgahawa wa Steers
ulioko Mtaa wa Samora/Ohio.
Pia tiketi zitauzwa siku ya mchezo katika magari maalumu
yatakayoegeshwa katika maeneo ya uwanja.
Tunatoa mwito kwa mashabiki kununua tiketi zao mapema
ili kuepuka bughudha ya kuingia uwanjani siku ya mechi.
Viingilio katika pambano hilo ni sh.5,000 kwa viti vya
kijani na bluu(tiketi 36,000), sh. 7,000 viti vya rangi ya
chungwa (tiketi 11,000) sh. 10,000VIP C (tiketi 4,000),
sh. 15,000 VIP B (tiketi 4,000) na sh. 20,000 VIP A(tiketi 700).
Waamuzi wa mechi hiyo ni Oden Mbaga (centre referee),
Hamis Chang’walu (assistant 1) na John Kanyenye(assistant 2).
Mtathimini wa waamuzi (referee assessor) ni Soud Abdi wakati
kamishna wa mchezo huo ni Mohamed Nyange.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Man City thrash Wolves in Carling Cup

Manchester City reach the last eight of the Carling Cup after their lethal
attack helps them to a 5-2 win at Wolves.
Wolves took a shock lead when Nenad Milijas smashed in before Adam Johnson equalised from the edge of the area.
It was 3-1 four minutes later when Johnson's ball was tucked home by Samir Nasri before Edin Dzeko tapped in.
A Dorus De Vries own goal extended the lead and Dzeko turned in the fifth before Wolves' Jamie O'Hara converted Stephen Ward's ball from the left.
Five more goals from City meant that the Manchester club have scored 15 goals in their last three games.
They started poorly though as Wolves took the lead before the game was turned on its head in four madcap first-half minutes.
26 October 2011
Tevez kukatwa mshahara wa mwezi mmoja

Mshambuliaji wa Manchester City Carlos Tevez amepewa adhabu ya kukatwa mshahara wa wiki nne, na onyo la maandishi baada ya kukutwa na hatia ya kukiuka mkataba wake.
Mchezaji huyo kutoka Argentina amepewa pia adhabu ya kutocheza soka kwa wiki mbili,
lakini adhabu hiyo tayari amekwisha tumikia.
lakini adhabu hiyo tayari amekwisha tumikia.
City imemkuta na hatia Tevez ya makosa matano, ikiwemo kugoma kupasha moto misuli
katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, Septemba 27.
katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, Septemba 27.
Mchezaji huyo ana muda wa siku 14 iwapo anataka kukata rufaa.
25 October 2011
24 October 2011
23 October 2011
22 October 2011
Manchester City boss Mancini says Ferguson is a 'teacher'

Manchester United v Manchester City
- Venue: Old Trafford, Manchester
- Date: Sunday, 23 October
- Kick-off: 1330 BST
- Coverage: Watch live on Sky Sports 1 and highlights on Match of the Day 2; full commentary on talkSPORT and coverage on BBC Radio 5 live; text commentary on BBC Sport website
Manchester City manager Roberto Mancini has said he considers Manchester United counterpart Sir Alex Ferguson a "teacher" as he prepares for Sunday's derby match.
The top two in the Premier League face each other at Old Trafford, with Mancini seeking a first league victory over Ferguson's side.
"I can say thank you to him because I have big respect for him - he won everything for 25 years," Mancini said.
"He is a teacher and I learn from him."
The Italian believes all aspiring managers should look up to Ferguson.
"He wants to continue to win and that's important for me and all young managers," Mancini added.

I hope I can do the same but it won't be easy."
Since taking charge of City in December 2009, Mancini's side have failed to beat United in the Premier League but have secured wins in the Carling Cup and FA Cup, and Mancini is hoping those experiences can help his players this weekend.
"We have improved a lot in the last year but we have to continue to work," he said.
21 October 2011
20 October 2011
19 October 2011
18 October 2011
17 October 2011
15 October 2011
14 October 2011
13 October 2011
12 October 2011
11 October 2011
PERFUME YENYE BEI KULIKO ZOTE DUNIANI

Clive Christian's Imperial Majesty: $215,000 (16.90z)
Australian dollar: $285,000
Canadian dollar: $245,846
Euro: €177,727
Pound: £115,000
Rupee: Rs9,496,550
Imperial Majesty, which costs $215,000 a bottle, is the most expensive perfume in the world. Would it smell as sweet at any other price?
Actually, yes. Imperial Majesty is a limited edition of a Clive Christian signature scent. Sold simply as No. 1, the fragrance is priced at $2,150 an ounce. But the reason Imperial Majesty costs so much is that Christian, a British designer-turned-perfumer, poured 16.9 ounces of No. 1 into a Baccarat crystal bottle, stuck a five-carat diamond into the 18-carat gold collar and unveiled it at Harrods in London and Bergdorf Goodman in New York City this past holiday season.
Of the five bottles released for sale (the others were kept for Christian's archives), three have sold.
Anzhi Makhachkala plan Van Persie move - Roberto Carlos
Van Persie is just one of Anzhi's big-name targets, says Carlos
Roberto Carlos, joint manager of Anzhi Makhachkala, claims his big-spending Russian club are considering a move for Arsenal's Robin van Persie.
Brazilian Carlos also named Chelsea's Nicolas Anelka and Santos' Neymar amongst his employers' targets. "We want to make a club the calibre of Real Madrid or Barcelona," Carlos told French TV show Canal Football Club.
Anzhi bought striker Samuel Eto'o from Inter Milan in August on wages estimated to amount to £8.7m per year.
Chelsea wing-back Yuri Zhirkov and PSV Eindhoven winger Balazs Dzsudzsak have also headed East in lucrative moves.
Former Brazil left-back Carlos, 38, was the first big arrival at the Dagestan club when he joined as a player in February and was made joint caretaker manager after head coach Gadzhi Gadzhiyev was dismissed in September.
10 October 2011
09 October 2011
08 October 2011
07 October 2011
HAWA NDO MATAJIRI 11 ZAIDI TANZANIA.
1. Said Bhakhresa
2. Mohamed Dewji
3. Yusuph Manji
4. Reginand Mengi
5. Mh. Mkono
6. Mwanamboka
7. J. Patel
8. Mh. Chenge
9. Mh. Lowasa
10. Mh. M. Shabiy
11. Mh. M. Abood
according 2 answer.com
2. Mohamed Dewji
3. Yusuph Manji
4. Reginand Mengi
5. Mh. Mkono
6. Mwanamboka
7. J. Patel
8. Mh. Chenge
9. Mh. Lowasa
10. Mh. M. Shabiy
11. Mh. M. Abood
according 2 answer.com
Corinthians cool interest in signing Carlos Tevez from Manchester City
Tevez has scored 53 goals in 91 appearances for Manchester CityCorinthians have no plans to renew their interest in Manchester City striker Carlos Tevez, their general manager Edu has told BBC Sport.
Tevez was the subject of a £35m bid from the Brazilian club in July but they ran out of time to seal the deal.
The 27-year-old is currently suspended while City investigate his alleged refusal to play against Bayern Munich.
06 October 2011
03 October 2011
HAYA NDO MATOKEO RASMI TOKA IGUNGA
Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443)
Na haya ni kata kwa kata…
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
Na haya ni kata kwa kata…
Mboto CCM 730- CHADEMA 302
Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284
Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085
Itumba CCM1079 CHADEMA 590
Nanga. CCM 897. CHADEMA 645
Igurubi CCM 925 CHADEMA 592
Mwisi CCM 926. CHADEMA 992
Mbutu. CCM 1186. CHADEMA 1426
Kinungu. CCM 505 CHADEMA 268
Ngulu CCM 622 CHADEMA 412
Igunga CCM 3181 CHADEMA 3358
Choma CCM 1227 CHADEMA 918
Kining. CCM 700 CHADEMA 451
Mwashiku. CCM 798 CHADEMA 484
Nsimbo CCM 738 CHADEMA 1016
Itunduru CCM 738 CHADEMA 784
Mwamashimba CCM 1224 CHADEMA 1421
Mbutu CCM 1335 CHADEMA 1427
Bukoko CCM 1136 Chadema 931
Nyandekwa CCM 691 Chadema 631
Ndembezi CCM 866 Chadema 806
Chabutwa CCM 545 Chadema 581
Ziba CCM 1053 Chadema 860
Igoweko CCM 1051 Chadema 880
Sungwizi CCM 1225 Chadema 718
Isakamaliwa CCM 525 Chadema 593
01 October 2011
Live - Saturday football
Manchester United and Manchester City are among the teams in action on a packed
programme in England and Scotland, after Liverpool beat 10-man Everton in the Merseyside derby.
MAN UNITED 2-0 NORWICH
BLACKBURN 0-4 MAN CITY
LIVERPOOL 2-0 EVERTON
Subscribe to:
Comments (Atom)

































