Yule
Mamba aliyekuwa akiishi kwenye makazi ya watu Kinondoni Block 41,
jijini Dar es Salaam hatimaye leo May 4, 2014 ameuliwa kwa kupigwa na
risasi zipatazo nne. Kwa mujibu wa shuhuda aliyekuwepo eneo la tukio
alisema kuwa Mamba huyo amekuwa akiishi kwa muda mrefu licha ya
Wananchi kutoa taarifa kwa mamlaka husika.
Wananchi kutoa taarifa kwa mamlaka husika.
"Leo
ameuwawa Mamba ambaye alikuwa akitulaza kwa hofu maana alitokea
kujichanganya kwenye makazi ya watu ndipo watu walipomshambulia na
baadae ilibidi tupate msaada wa jirani yetu ambaye alikuwa na bastola
na kufanikiwa kumpiga risasi nne na kumuua. Picha zote na EMMA Mdau wa
Kajunason Blog akishirikiana na Erick Mgema.
Mamba akiwa amewekwa juu ya gogo ili wananchi wamwangalie vizuri katika kituo cha Osterbay jijini Dar.
Mamba alikuwa amekomaa kukadiliwa anaumri wa miaka mitano...
No comments:
Post a Comment