06 May 2014

JIBU LA ZLATAN KUHUSU PSG KUMSAJILI MESSI AU RONALDO HILI HAPA


 

ZLATAN Ibrahimovic amependekeza kuwa Paris Saint-Germain haina haja ya kusajili nyota mwingine wakati yeye yupo katika klabu kwasasa.
PSG wanahusishwa na mpango wa kumsajili nyota wa Barcelona au Cristiano Ronaldo wa Real Madrid, lakini Msweden huyo alipoulizwa kuhusu hilo alijibu haraka kwanini klabu isajili nyota mwingine wakati yeye yupo.
“Kwanini Messi au Ronaldo wakati una Zlatan?” alijibu alipoulizwa  katika shoo ya

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname