05 May 2014

HUU SASA WIVU...BAADA YA KUSHINDA TUZO 7...WATU WASEMA ETI DIAMOND ALITINGA NA SKETI UKUMBINI

Wajameni mimi sijui mshamba au ndo kupitwa na mambo , hivi hii staili ya kuvaa sketi kwa wanaume ndio fashion sasahivi ama? Jana Diamond aliingia na sketi hiyo hapo juu ....nikabaki midomo wazi......Je ni sawa? KUPATA HABARI ZAIDI Tuma neno TCT kwenda 15678 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname