06 May 2014

BREAKING NEWS: MASKINI RAY C...HALI YAKE NI TETE HOSPITALI....!




Taarifa tulizozipata hivi punde ni kwamba msanii Rehema Chalamila almaarufu kama Ray C ana hali mbaya na amelazwa hospitali ya Mwananyamala..

Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari Ray C anasumbuliwa na ugonjwa hatari wa Dengue (DENGU) unaoenezwa na mbu wa mchana...
...GET WELL SOON RAY C.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname