INATISHAA;;MCHAWI AANGUKA PEMBENI YA KANISA AKIWA NA KIGANJA CHA MKONO WA MTU MDOMONI.
Dada
mmoja aliye julikana baadae kama Esther
alianguka pembeni ya kanisa
huko Naija huku akiwa na kiganja cha mkono wa mtu mdomoni
na
gongo kubwa mkononi, baada ya kuhojiwa baadae alisema kwamba yeye
alikuwa kwenye safari zake tu na baadae kujikuta amepoteza fahamu eneo
hilo
No comments:
Post a Comment