Kituo cha Polisi Kilichovamiwa na wananchi ambapo Walifanya uharibifu mkubwa wa mali pamoja na kuchoma moto gari moja lilokuwa kituoni hapoa na katika vurugu hizo watu watau walifariki dunia
Picha ya mmoja wa marehemu kutokana na Vurugu za wafugaji na wakulima ambapo wananchi walitaka kuvamia kituo cha polisi malinyi.Katika vurugu hizo watu watatu walipoteza maisha.CHANZO BOFYA KUANGALIA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment