07 February 2016

Picha: Shilole akila bata Paris-Ufaransa bila ya kuwa na Nuh Mziwanda tena!

Mapenzi ya Shilole na Nuh Mziwanda yaliongelewa sana mitandaoni hada ilipofikia kuachana kwao. Maranyingi walikuwa wakienda kula bata kwa pamoja nchi za nje lakini hivi sasa inawezekana kila mmoja atakuwa akila bata kivyake au katika mahusiano mapya atakayo yapata. Huyu hapa Shilole akiwa Paris kula bata.


No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname