Kwa mara ya kwanza video vixen
Vera Sidika kutoka nchini
Kenya
ameamua kuonyesha mjengo wake wa kifahari. Walio bahatika kutembelea
walishangaa kuwa ni yeye kweli anaishi katika jengo hilo la kifahari!
Kwenye mitandao ya kijamii,
Vera haijawahi kuonekana kama ni moja
ya watu ambao wametengeneza mkwanja mrefu mbali na kuonekana akitupia
picha zake za mitego katika account yake ya Instagram. Amekuwa akitupia
video kwenye snapchat jinsi akiwa ndani ya mjengo wake huo lakini
hajawahi kuonyesha ukubwa wa jengo hilo kwa nje.
Lakini hivi karibunu ametupia picha ya jengo lake hilo ambapo imefahamika lipo maeneo ya Kitusuru, Nakuipa caption '
Queendom' hiyo ilitosha kuthibitisha kuwa yupo nyumbani kwake.
No comments:
Post a Comment