02 February 2016

BREAKING NEWS MTUHUMIWA MAUWAJI YA DIWANI WA CUF MULEBA AKAMATWA

Kijana huyu anaitwa "Simon Shilage" ana umri wa miaka 22, Yeye kwa kushirikiana na mwenzie mmoja ambaye bado hajapatikana ndio wanao tuhumiwa kumuua Diwani wa kata ya Kimwai huko Muleba Ndg.Faustine Muliga wa chama cha wananchi CUF

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname