29 January 2016

Wema Sepetu adai Zari anamchokonoa, Aelezea hapa tofauti zao


post-feature-image

Muigizaji wa kike anayekubalika na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, ameelezea kwa kina chanzo cha ‘kuchambana’ Instagram na Zari The bosslady mpenzi wa Mbongo flava Diamond Plutnumz. Wema amesema amekuwa akivumilia matendo kadhaa ya ukorofi aliyokuwa akifanyiwa na Zari mitandaoni.

“Diamond ameshamove on ameshakutana na girlfriend wake, mama wa mtoto wake na mimi sikuwahi kujihusisha na mambo yao, lakini i think the girl (Zari) anakuwa kama ana kitu na mimi i have been quit for a very long time, first year nimekaa kimya, Second year nimekaa kimya. "its like kama vile ananichokonoa” alisema. Katika ‘line’ nyingine Wema amesema kwa sasa ana furaha kwenye mahusiano yake mapya na Idriss Sultan.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname