16 January 2016

Ukitaka Kufikia Malengo Yako Usimuangalie Mtu-Joti

Kupitia ukurasa wake wa instagram, mkali wa comedy Joti ameandika haya mara baada ya kuweka picha hii akiwa na jamaa yake toka kitambo, Mpoki.
JOTI77
Hivi ndivyo ilivyokuwa mwanzo wetu ktk hii kazi,hakuna binadamu aliewahi kufanikiwa kwa kuogopa.. kusemwa,kuchekwa,kupuuzwa, ,alafu leo hii mtu atakuzungumzia kama vile anakujua sana,tena mpaka mishipa ya shingo inamtoka,
ila wapo waliofanikiwa kwa kuvumilia,maneno,dharau,kejeli…ukihitaji
kufikia malengo yako usimuangalie mtu muangalie mungu,na weka mkazo ktk malengo yako…😡😡😡😡
JOTU23

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname