Masaa machache yamepita tangu msanii wa Bongo fleva Ruby kuweka post yenye malalamiko kuhusu star wa Bongo Alikiba kutumia jina la Ruby kwa mbwa wake, hapa nakusogezea post yake nyingine akidai kupokea ujumbe wa msamaha.
“Asante sana kaka@officialalikiba Msamaha
wako nimeupokea na nimekubali japo umeondoa post yako. Utakuwa na
sababu zako unazojua mwenyewe. Kama nilivyosema mwanzo issue sio jina la
mbwa wako, issue ni huo ‘mfugo’ uliofanywa topic na watu wako wa karibu
na kunifanya nianze kuhisi huenda ulikuwa na maana nyingine. Since
umepiga simu kwa boss wangu kuomba radhi, mimi sina kinyongo, naomba
Mungu huyo mbwa awe anabweka tu ha ha,tufanye tu kazi kaka“
No comments:
Post a Comment