20 January 2016

SUPER STAR ZARI THE BOSS LADY AMCHANA WEMABomu jipya kutoka kwa mama T, amuonya mrembo wema sepetu aache kuulizia DNA ya mtoto wake badala yake akapime ultra sound ya mtoto ambao anadai amembeba tumboni mwake, mrs T aliendelea kutiririka na kumtaka wema sepetu akashindane na level zake sio yeye

SOMA ZAIDI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname