20 January 2016

RAIA WA UJERUMANI AITELEKEZA FAMILIA YAKE HOTELINI DAR ES SALAAM


Raia wa Ujerumani (kulia) ambaye jina lake halikupatikana mara moja, ametiwa na mbaroni na Jeshi la  Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za kutaka kuitoroka familia yake katika  Hoteli ya Cate Dar es Salaam. Raia huyo alikuwa nchini na mkewe mwenye asili ya Afrika katika kipindi cha msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Alijaribu kumtoroka mkewe na mtoto (4) na kuwaacha wakidaiwa deni la sh. 315,000 baada ya kuzuka ugomvi baina yao.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname