Manunuzi ya vitu vya thamani unaofanywa na bondia maarufu Floyd
Mayweather unaendela na sasa jamaa kanunua gari yenye thamani ya dola
milioni $3.5. Gari hii ni Bugatti ambayo bado haijatoka na kuruhusiwa
kununuliwa na raia yeyote.
Mtandao wa Tmz umeripoti kuwa Mayweather amebadilisha Bugatti
collection yake kwa kuongeza mpya na kuuza ile ya zamani , Bugatti
aliyonunu ni ya mwaka 2017 inaitwa Bugatti Chiron.
No comments:
Post a Comment