20 January 2016

Picha 10 za jumba la Kifahari la Rais Mugabe zitakazokuacha na hoi kichwani mwako

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye amekuwa rais wa nchi hiyo tangu walipopata uhuru Aprili mwaka 1980, ana miliki jumba la kifahari linalojulikana kama ‘Blue House’ ambalo ni moja kati ya vivutio jijini Harare.
Blue House 1
Kumbuka hili ni jumba lake binafsi na sio Ikulu ya Zimbabwe.
‘Blue House’ yenye vyumba vya kulala 25 ilijengwa na wahandisi wa kampuni ya ujenzi ya Serbia inayojulikana kama Energoproject na imetumia mchoro kutoka nchini China.
Mbali na hilo, unapaswa kufahamu kuwa jumba hilo limechukua eneo la hekari 44 na linalindwa kwa radar ya kisasa yenye thamani kubwa. Ndani lina ‘mabwawa mawili makubwa ya kuogelea’ ambayo wanayaoita ‘Maziwa’.
Endelea kuangalia picha:
Blue House 2Blue House 3Blue House 5Blue House 6Blue House 7Blue House 8Blue House 9Blue House 10

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname