29 January 2016

Mwanamuziki Diamond Platnumz na Idriss Sultan Waonyeshana Uanaume Laivu

Leo Diamond na Idriss Wameonyesha kuwe wenyewe ni wanaume pale ambapo Diamond Platnumz Amemuwish Happy Birthday Idriss na Idriss kujibu bila tatizo lolote huku kukiwa na fukuto la ugomvi mtandaoni kati ya wapenzi wao Wema Sepetu na Zari Hassan

Nimekuwekea Majibishano yao Hapa;

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname