14 January 2016

MWANAJESHI AMUUA MKEWE KWA KUMCHARANGA MAPANGAAJIPELEKA MWENYEWE POLISI

Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatatu, wiki hii, katika eneo la Kwa Mpenda, Kata ya Kivule, Chanika wilayani Ilala. 
Shuhuda wa tukio hilo ambaye ni mpangaji wa nyumba ya mtuhumiwa, Hellena Musa, aliiambia Nipashe kuwa wanandia hao walianza kugombana saa 5:45 usiku.  

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI ZINATISHA 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname