21 January 2016

MKATA VICHWA MATEKA KUTOKA KUNDI LA KIGAIDI LA DOLA LA KIISLAMU IS AUWAWA

Emwazi anatambuliwa zaidi kwa jina la Jihadi John, ndiye aliyekuwa akitumiwa zaidi kwenye video ambazo zilikuwa zikioneshwa na kundi hilo wakati wa kutekeleza mauaji ya raia wa mataifa ya magharibi walilokuwa wakikamatwa na kundi hilo. 

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname