21 January 2016

MAJIBU YA MKWASA KUHUSU CANNAVARO KUSTAAFU KUICHEZEA TAIFA STARS


Charles Boniface Mkwasa, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania
Charles Boniface Mkwasa, Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania
Siku kadhaa baada ya nahodha wa muda mrefu wa Stars Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ‘Taifa Stars’, hatimaye kocha mkuu wa kikosi hicho Charles Boniface Mkwasa amesema hajapata taarifa rasmi na kuongeza kuwa, Cannavao bado yupo kwenye mipango yake ya timu ya taifa ya Tanzania.
“Mimi nafikiri si vizuri kuzungumza kwasababu nimekuwa nikizungumza muda mrefu na nikizungumza tutazidi kuchochea, mimi nafikiri maamuzi yatakuwa yamebaki kama nilivyozungumza”, amesema Mkwasa.

SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname