20 January 2016

Mafuriko ndani Mlimani City Malls... Aibu ilioje.... Biashara yasitishwaa....

Mvua ya leo asubuhi imelete balaa na kuaibisha nchi baada ya mvua kiungia ndani ya shopping mall ambayo ni kubwa kuliko zote Tanzania, kupata janga hili sio sawa kutokana na watalii kupendelea huduma zao..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname